KING SHYZZOH.BLOGSPOT.COM


ASSALAM ALEYKUM,ndugu zangu wapendwa,napenda
kuwashukuru wote wale a

mbao mlikuwa mkinissaport kwa kila hatua nilio kuwa mikipiga katika kuipambania blog yetu pendwa kwa habari mbali mbali,za kielimu,afya,siasa,michezo,mahusiano n.k
Nataka niwajuze tena kuwa blog iko active tena kuanzia kesho habari zitakuwa za kumiminika maana wahenga husema kimya Cha Kobe kina maana nyingi mengi nimejifunza na kuyaelewa Inshaallah ntakapo kuwa nakosea ni vema kunikosoa maana ipo sehemu ya ushauri.
Nimpende kuwashukuru tena wapendwa wangu,pia niwatakie Funga njema ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA YA MKWAWA AMBAYE ALIWAHI KUWA CHIFU WA UHEHE HISTORIA YA MKWAWA Mkwawa alikuwa kiomgozi wa jadi wa kabila la wahehe nchini Tanzania, ni moja kati ya viongozi shupavu wa jadi waliowahi kuishi duniani japo mapokeo yao yanaharibiwa taratibu na mabadiliko ya sayansi na technolojia lakini kumbukumbu zao hazitasahauliki hata vizazi vingi vijavyo. miongoni mwa machifu wanaotajwa kuwa na nguvu za kiutawala kwa kipindi hicho ni pamoja na kinjekitile ngwale wa songea aliyeongoza vita za majimaji, Mirambo wa Tabora nk PICHA YA MKWAWA

Nigeria, Rwanda ruksa kutoka nje, ni baada ya Lockdown

Mwili wa George Floyd kuzikwa leo, maelfu wafurika kanisa la ‘The Fountain of Praise’ kutoa heshima za mwisho