MUONGOZO WA HATUA KWA HATUA :KUTENGENEZA SABUNI BORA ZA MAJI

" Karibu kwenye Muongozo wa hatua kwa hatua :Kutengeneza Sabuni boraza maji;Blog hii ni mahala ambapo nitashirikiana nawe maarifana mbinu za kutengeneza Sabuni boraya maji kwa matumizi ya nyumbani au Biashara.Ukiwa hapa,utajifunza kila kitu unachohitaji kujua ili kuwa mtaalamu wa sabuni"


1.Vifaa na Malighafi Muhimu za Kutengeneza Sabuni za Maji.

"ili kutengeneza Sabuni bora ya  Maji,unahitaji vifaa na Malighafi zinazo kidhi viwango vya Usalama na Ubora.Vifaa sahihi vitakusaidia kuhakikisha mchakato wako ni wa haraka na salama,huku malighafi bora zitahakikisha unapata matokeo bora"




A:Orodha ya vifaa            Muhimu 

1.Ndoo au Beseni kubwa la plastiki:Kwa kuchanganya kemikalo

2.Mwiko mkubwa au mbao:Kwa kuchanganya mchanganyiko

3.Mizani ya kupima:Kwakupima kemikali kwa usahihi

4.Gloves na miwani ya usalama:Kwa kulinda mikono na macho
 kutokana na Kemikali                                                                                   

5.Jagi la plastiki:Kwa kupima Maji

6.Mfuniko waplastiki:Kufunika mchanganyo unapo uacha kwa mda



B:Orodha ya Malighafi Muhimu

1.Sulphonic Acid:Kazi yake ni kutakatisha na kuimaarisha usafi

2.Sless:Kazi yake ni kuongeza Povu                katika sabuni

3.Soda Ash:Kazi yake ni kuumua sabuni     na kuipa nguvu sabuni

4.CMC/Alka 2:Kuongeza uzito wa          Sabuni

5.Glycerine:Kurainisha sabuni

6.Rangi:Kuipa muoonekano sabuni

7.MAji safi:Kutengeneza ujazo wa sabuni

8.Chumvi:Kuifanya sabuni iwe nzito

9.Cde:Kuipa sabuni povu na kuipa nguvu

10.Perfume:Harufu nzuri ya sabuni


Hakikisha unapata vifaa na Malighafi hizi kutoka kwa wauzaji waaminifu ili uweze kuanza mcmhakato wa kutengeneza sabuni kwa ufanisi.


                           



Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA YA BENJAMINI MKAPA.

HISTORIA YA MKWAWA AMBAYE ALIWAHI KUWA CHIFU WA UHEHE HISTORIA YA MKWAWA Mkwawa alikuwa kiomgozi wa jadi wa kabila la wahehe nchini Tanzania, ni moja kati ya viongozi shupavu wa jadi waliowahi kuishi duniani japo mapokeo yao yanaharibiwa taratibu na mabadiliko ya sayansi na technolojia lakini kumbukumbu zao hazitasahauliki hata vizazi vingi vijavyo. miongoni mwa machifu wanaotajwa kuwa na nguvu za kiutawala kwa kipindi hicho ni pamoja na kinjekitile ngwale wa songea aliyeongoza vita za majimaji, Mirambo wa Tabora nk PICHA YA MKWAWA