MUONGOZO WA HATUA KWA HATUA :KUTENGENEZA SABUNI BORA ZA MAJI
" Karibu kwenye Muongozo wa hatua kwa hatua :Kutengeneza Sabuni boraza maji;Blog hii ni mahala ambapo nitashirikiana nawe maarifana mbinu za kutengeneza Sabuni boraya maji kwa matumizi ya nyumbani au Biashara.Ukiwa hapa,utajifunza kila kitu unachohitaji kujua ili kuwa mtaalamu wa sabuni" 1 .Vifaa na Malighafi Muhimu za Kutengeneza Sabuni za Maji. "ili kutengeneza Sabuni bora ya Maji,unahitaji vifaa na Malighafi zinazo kidhi viwango vya Usalama na Ubora.Vifaa sahihi vitakusaidia kuhakikisha mchakato wako ni wa haraka na salama,huku malighafi bora zitahakikisha unapata matokeo bora" A: Orodha ya vifaa Muhimu 1.Ndoo au Beseni kubwa la plastiki:Kwa kuchanganya kemikalo 2.Mwiko mkubwa au mbao:Kwa kuchanganya mchanganyiko 3.Mizani ya kupima:Kwakupima kemikali kwa usahihi 4.Gloves na miwani ya usalama:Kwa kulinda mikono na macho kutokana na Kemikali ...