Rais Magufuli salamu za Mei Mosi ” Tuchape kazi Ugonjwa usiturudishe nyuma”Rais Magufuli salamu za Mei Mosi ” Tuchape kazi Ugonjwa usiturudishe nyuma”

Rais Dkt John Magufuli ametoa wito kwa waajiri kutotumia ugonjwa wa Corona kama kigezo cha kuwanyanyasa wafanyakazi.
Katika salamu zake kwa Wafanyakazi katika siku hii ya Mei Mosi amesema Serikali inatambua mchango mkubwa unaotolewa na wafanyakazi katika ujenzi wa Taifa na itaendelea kusimamia maslahi yao na kuboresha mazingira yao ya kazi.

Mwaka huu sherehe hazitafanyika ili kuepusha mikusanyiko ya watu ikiwa ni hatua ya kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Corona.

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA YA BENJAMINI MKAPA.

MUONGOZO WA HATUA KWA HATUA :KUTENGENEZA SABUNI BORA ZA MAJI

HISTORIA YA MKWAWA AMBAYE ALIWAHI KUWA CHIFU WA UHEHE HISTORIA YA MKWAWA Mkwawa alikuwa kiomgozi wa jadi wa kabila la wahehe nchini Tanzania, ni moja kati ya viongozi shupavu wa jadi waliowahi kuishi duniani japo mapokeo yao yanaharibiwa taratibu na mabadiliko ya sayansi na technolojia lakini kumbukumbu zao hazitasahauliki hata vizazi vingi vijavyo. miongoni mwa machifu wanaotajwa kuwa na nguvu za kiutawala kwa kipindi hicho ni pamoja na kinjekitile ngwale wa songea aliyeongoza vita za majimaji, Mirambo wa Tabora nk PICHA YA MKWAWA