Rais Magufuli “Haiwezekani kila dereva anayeenda Kenya ana Corona, Mbona dereva wangu hana”

“Haiwezekani kila Dereva ambaye anaenda Kenya awe na corona, mimi nina Dereva wangu hapa kwahiyo na yeye ana corona?, Dereva fungua dirisha la gari wakuone.. haya Watu wa Singida mnamuona huyu dereva 
“Corona ipo lakini naamini itaisha tu, lakini kikubwa tusiogope na wala tusitishane, hapa Singida naona hamjawa na hofu ndio maana waliovaa barakoa wachache, hata mimi sijavaa, Mkuu wa mkoa pia hajavaa, tuombe Mungu, tuchukue tahadhari lakini tuchape kazi”

Comments

Popular posts from this blog

MUONGOZO WA HATUA KWA HATUA :KUTENGENEZA SABUNI BORA ZA MAJI

HISTORIA YA OSAMA BIN LADEN KUZALIWA MPAKA KUFA

Yaelezwa huyu ndio mwanamke aliyepigwa busu mara nyingi zaidi duniani