Mwijaku: “Nyimbo za Diamond kuanza kuchezwa Clouds ataanza kushinda tuzo, Alipotea kimataifa”

Msanii na Mtangazaji wa Cloud Plus @mwijaku ametoa maoni yake kuhusu CEO wa Clouds media @josephkusaga kuwataka Watangazaji wa kipindi cha Leo tena kucheza wimbo wowote wa @diamondplatnumz na @mwijaku kusema kwamba huo ndio Utakuwa mwanzo wa @diamondplatnumz kuanza kushinda tuzo.
@mwijaku ameongeza kuwa @diamondplatnumz kutokushinda tuzo za kimataifa ni kwa sababu nyimbo zake ziliachwa kuchezwa Clouds media.

Pia kwa Upande wa @lilommy alishinda tuzo kwa sababu baadhi ya Watangazaji wa Clouds walianza kumtaja kama @bdozen na wengine.

Comments

Popular posts from this blog

MUONGOZO WA HATUA KWA HATUA :KUTENGENEZA SABUNI BORA ZA MAJI

HISTORIA YA OSAMA BIN LADEN KUZALIWA MPAKA KUFA

Yaelezwa huyu ndio mwanamke aliyepigwa busu mara nyingi zaidi duniani