Diamond aonyesha hoteli aliyoinunua na kuamua kuitoa itumike kama karantini ya watu wenye Corona.

Diamond amesema kuwa “Nimenunua Hotel maeneo ya mikocheni, nimeshakabidhiwa documents zangu , ipo kwenye marekebisho kadhaa Kisha nitaitambulisha”
Hotel niliyonunua kwasababu sijaanza kui upgrade , Niko radhi niitoe kwa serikali kwa muda huu ili iweze kutumika Kama Karantini au Hospitali mpaka pale Corona itakapoisha”

Comments

Popular posts from this blog

MUONGOZO WA HATUA KWA HATUA :KUTENGENEZA SABUNI BORA ZA MAJI

HISTORIA YA OSAMA BIN LADEN KUZALIWA MPAKA KUFA

Yaelezwa huyu ndio mwanamke aliyepigwa busu mara nyingi zaidi duniani