WEMA WA MSHUMAA.

Wahenga wanasema tenda wema nenda          
zako,hii inaleta maana kuwa si kila unapotenda wema kwa mtu basi usibiri kushukuriwa.
Wapo watu wa aina tofauti tofauti tunao ishi nao katika jamii zetu,na kila mtu ana tabia yake,
Alikuwepo kijana mmoja ambae kazi yake ni kuwahudumia wanyama,hasa yeye alihusika sana na kuwahudumia simba,
Aliwalea tangia wakiwa wadogo mpaka wanakua simba hao.
Aliwapa chakula cha kutosha,na kuwapa dawa hasa pale wanapo onesha dalili za kuumwa,pia maji ya kutosha,na aliwapenda sana hao simba mpk kuwasafishia ata katika banda walimokuwa wanalala.
 Lakini siku moja huyo kijana wakati akiwasafishia lile banda aliwaamisha na kuwafungulia sehemu nyingine waingie ili aweze kusafisha,lakini kwa bahati mbaya hakuweza kufunga kwa kukaza lile banda.


Simba waliugonga mlango na kuingia ndani alimokuwa yule kijana na kuamshambulia vibaya mpaka kupelekea kufariki kwa yule muhudumu.
Mwisho walikuja walinzi waliosikia kelele alizokuwa akipiga yule kijana,na kuwashambulia wale simba kwa risasi ili wasije kuleta madhara makubwa kwani walishatoka katika lile banda lao.
                    By 
                         Kingshyzzoh.

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA YA MKWAWA AMBAYE ALIWAHI KUWA CHIFU WA UHEHE HISTORIA YA MKWAWA Mkwawa alikuwa kiomgozi wa jadi wa kabila la wahehe nchini Tanzania, ni moja kati ya viongozi shupavu wa jadi waliowahi kuishi duniani japo mapokeo yao yanaharibiwa taratibu na mabadiliko ya sayansi na technolojia lakini kumbukumbu zao hazitasahauliki hata vizazi vingi vijavyo. miongoni mwa machifu wanaotajwa kuwa na nguvu za kiutawala kwa kipindi hicho ni pamoja na kinjekitile ngwale wa songea aliyeongoza vita za majimaji, Mirambo wa Tabora nk PICHA YA MKWAWA

Nigeria, Rwanda ruksa kutoka nje, ni baada ya Lockdown

Mchungaji Kyashama “Upinzani kazi yao kuiongelea vibaya Serikali wanatia aibu, Rais Magufuli anapewa maono na Mungu”