Mchungaji Dkt Getrude Rwakatare azikwa leo kanisani kwake (+Picha)

Mwili wa Mchungaji wa Kanisa la Mikocheni B Assemblies of God, Dkt Getrude Rwakatare umezikwa leo kanisani kwake huku ibada ya mazishi ikihudhuriwa na idadi ndogo ya watu kama ilivyoelekezwa na serikali.

Maziko ya Askofu Getrude Rwakatare yafanyika katika eneo la Kanisa la Mlima wa Moto lililoko Mikocheni B, Jijini Dar Es Salaam.
Mchungaji huyo wa Kanisa la Mlima wa Moto na Mbunge wa viti maalum CCM, Askofu Gertrude Rwakatare alifariki Dunia alfajiri ya April 20, 2020,

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA YA MKWAWA AMBAYE ALIWAHI KUWA CHIFU WA UHEHE HISTORIA YA MKWAWA Mkwawa alikuwa kiomgozi wa jadi wa kabila la wahehe nchini Tanzania, ni moja kati ya viongozi shupavu wa jadi waliowahi kuishi duniani japo mapokeo yao yanaharibiwa taratibu na mabadiliko ya sayansi na technolojia lakini kumbukumbu zao hazitasahauliki hata vizazi vingi vijavyo. miongoni mwa machifu wanaotajwa kuwa na nguvu za kiutawala kwa kipindi hicho ni pamoja na kinjekitile ngwale wa songea aliyeongoza vita za majimaji, Mirambo wa Tabora nk PICHA YA MKWAWA

Nigeria, Rwanda ruksa kutoka nje, ni baada ya Lockdown

Mchungaji Kyashama “Upinzani kazi yao kuiongelea vibaya Serikali wanatia aibu, Rais Magufuli anapewa maono na Mungu”