Posts

Image
- Ni Michael Collins Wa Marekani, Rubani Wa Apollo 11. MWANAANGA Michael Collins (90) ambaye ni miongoni mwa wanaanga watatu wa kwanza kusafiri kutoka duniani kwenda kutua mwezi, ameaga dunia nchini kwao Marekani Aprili 28 mwaka huu 2021. Ukurasa huu ukiwa ni miongoni mwa wadau wa habari za masuala ya anga za juu na sayansi zake, unaangalia jinsi safari hiyo ilivyokuwa, na pia kunukuu maelezo ya mwanaanga huyo katika safari hiyo.  Ikumbukwe kuwa Collins wakati huo akiwa na umri wa miaka 39, ndiye alikuwa rubani wa chombo cha Apollo 11 katika safari ya kurejea duniani. JULAI 20, 2019, taaluma ya sayansi ya utafiti wa anga za juu duniani ilisherekea miaka 50 tangu binadamu aliposafiri kutoka duniani kwenda kutua na kutembea kwenye ardhi ya mwezi mwaka 1969. Safari hiyo na zingine 6 zilizofuatia hiyo kwenda kutua kwenye mwezi, mpaka wakati huu ni zile zilizoandaliwa na shirika la anga za juu la Marekani (NASA). Aidha, inafurahisha na kutia moyo kwamba zimerejea upya jitihada za mataifa mb

KING SHYZZOH.BLOGSPOT.COM

Image
ASSALAM ALEYKUM,ndugu zangu wapendwa,napenda kuwashukuru wote wale a mbao mlikuwa mkinissaport kwa kila hatua nilio kuwa mikipiga katika kuipambania blog yetu pendwa kwa habari mbali mbali,za kielimu,afya,siasa,michezo,mahusiano n.k Nataka niwajuze tena kuwa blog iko active tena kuanzia kesho habari zitakuwa za kumiminika maana wahenga husema kimya Cha Kobe kina maana nyingi mengi nimejifunza na kuyaelewa Inshaallah ntakapo kuwa nakosea ni vema kunikosoa maana ipo sehemu ya ushauri. Nimpende kuwashukuru tena wapendwa wangu,pia niwatakie Funga njema ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani

HISTORIA YA MKWAWA AMBAYE ALIWAHI KUWA CHIFU WA UHEHE HISTORIA YA MKWAWA Mkwawa alikuwa kiomgozi wa jadi wa kabila la wahehe nchini Tanzania, ni moja kati ya viongozi shupavu wa jadi waliowahi kuishi duniani japo mapokeo yao yanaharibiwa taratibu na mabadiliko ya sayansi na technolojia lakini kumbukumbu zao hazitasahauliki hata vizazi vingi vijavyo. miongoni mwa machifu wanaotajwa kuwa na nguvu za kiutawala kwa kipindi hicho ni pamoja na kinjekitile ngwale wa songea aliyeongoza vita za majimaji, Mirambo wa Tabora nk PICHA YA MKWAWA

Image
KUZALIWA Mkwawa alizaliwa mnamo mwaka 1855 katika kijiji cha LUHOTA nje kidogo na mjini Iringa. Jina halisi aliitwa MKWAVA au MKWAVINYIKA likiwa na maana ya MTAWALA WA NCHI, Mkwawa alikuwa mtoto wa chifu aliyeitwa MUNYIGUMBA aliyekufa mwaka 1879. Baba yake alifanikiwa kuunganisha temi ndogondogo za wahe he na makabila ya jirani na kuwa dola moja , mfumo huo alinakili toka kwa falme za WASANGU waliowahi ku wa kabila lenye nguvu amabalo mbinu hii pia nao walijifunza toka kwa WANGONI. Hadi miaka ya 1870 eneo la wahehe lilipanuliwa kuanzia kusini hadi katikati ya Tanzania ya leo. Baada ya kifo cha chifu MUNYIGUMBA watoto wake waliingia tofauti kubwa sana katika harakati ya nani achukue madaraka ya hayati baba yao. mwi sho mkwawa alishinda na akawa kiongozi mpya wa wahehe Mkwawa aliendelea kupanua dola ya wahehe hadi kufikia mwaka 1880 alitawala sehemu muhimu za njia ya misafara kati ya pwani na ziwa Tanganyika. Ambapo misafara hiyo ilikuwa ikibeba bidhaa za nje kama vita mbaa, visu, silaha

HISTORIA YA OSAMA BIN LADEN KUZALIWA MPAKA KUFA

Image
Osama bin Mohammed bin Awad bin Laden alizaliwa Riyadh huko Saud Arabia katika famila ya ndugu Mohammed bin Awad bin Laden ambaye alikuwa ni tajiri mkubwa sana kwa nyakati hizo utajiri ambao aliupata kwa kazi yake ya ukandarasi, Osama bin Laden alizaliwa 10,march, 1957 kwa Hamida al-Attas alikuwa mke wa kumi katika orodha ya wake za baba yake Mohammed na ambaye alimpa taraka muda mfupi baada ya Osama kuzaliwa, Hivyo watoto aliozaliwa tumbo moja na Osama walikuwa jumla yao wanne akiwepo mwanamke mmoja ambaye ni dada yao. ELIMU Osama amehudhuria shule Al-Thager model school, na baadaye akahudhuria masomo ya Uchumi na biashara katika chuo cha KING ABDULAZIZ. Lakini pia alikuwa na shahada ya ufundi na ya maendeleo ya jamii. Ukweli ni kuwa alikuwa ni mtu aliyekuwa ni mtu mwenye bidii katika kila jambo au kazi, pamoja na hayo yote Osama aliipenda sana dini yake kupindukia kama walivyo waarabu wengine wenye itikadi kali, muda mwingi aliutumia kuichambua quran na kazi za kujitolea. Osama alipe

HISTORIA FUPI KUHUSU BABA WA TAIFA

Image
Julius Kambarage Nyerere alizaliwa mwaka 1922 katika kijiji cha Butiama , wilaya ya Musoma , mkoa wa Mara , Tanzania (wakati ule: Tanganyika ). Alikuwa mmojawapo kati watoto 26 wa Nyerere Burito, chifu wa kabila la Wazanaki . Alipokuwa mtoto Nyerere alichunga mifugo ya baba yake; katika umri wa miaka 12 aliingia shule akitembea kilomita 30 hadi Musoma . Baada ya kumaliza shule ya msingi aliendelea kusomea shule ya wamisionari Wakatoliki huko Tabora . Katika umri wa miaka 20 alibatizwa akawa Mkristo Mkatoliki hadi mwisho wa maisha yake. Ma padri wakiona akili yake kubwa walimsaidia kusomea ualimu huko  Makerere ,  Kampala ,  Uganda  kuanzia mwaka  1943  hadi  1945 . Akiwa Makerere alianzisha tawi la Umoja wa Wanafunzi Watanganyika, pia alijihusisha na tawi la  Tanganyika African Association  (TAA). Baada ya kumaliza masomo ya ualimu alirudi Tabora akifundisha shule ya St.Mary. Mwaka  1949  alipata  skolashipu  ya kwenda kusoma kwenye  Chuo Kikuu  cha  Edinburgh ,  Uskoti